Kaimu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa
Kimataifa, Balozi Irene Kasyanju (kulia) akiwa na Mwenyekiti wa Bodi ya
Chuo cha Diplomasia, Balozi Mwanaidi Maajar wakati wa hafla fupi ya
kufunga Mafunzo Maalum ya Maafisa Waandamizi wa Mambo ya Nje
(SOFREMCO) iliyofanyika Chuoni hapo Jijini Dar es Salaam hivi
karibuni.
Kaimu Katibu Mkuu, Balozi Kasyanju na Balozi Maajar wakiwa katika
picha ya pamoja na baadhi ya Viongozi wa Chuo na Wizara pamoja na
Wahitimu wa Mafunzo ya Maafisa Waandamizi wa Mambo ya Nje.
Wahitimu wengine wakiwa wenye nyuso za furaha
Kundi jingine la wahitimu hao
Wakufunzi wa Chuo cha Diplomasia wakibadilishana mawazo wakati wa hafla hiyo
Wahitimu wakipata picha za pamoja kwa kumbukumbu
Picha ya pamoja ya Maafisa waliohitimu Kozi ya Maafisa Waandamizi wa Mambo ya Nje
Wakifurahia
Picha zaidi
Kaimu Katibu Mkuu, Balozi Kasyanju akiongozana na Balozi Maajar na
Viongozi wengine mara baada ya hafla fupi ya kuwapongeza Wahitimu wa
Mafunzo ya SOFREMCO kukamilika.
0 comments :
Post a Comment