KATIBU MKUU WA CHADEMA DR WILBROAD SLAA APEWA UCHIFU WA MKOA WA DAR ES SALAAM NA WAZEE WA KANDA YA PWANI


Wazee wa Kimila Ali Mahita Mwinyikambi (kulia) na Athumani Rajab Uloleulole kwa niaba ya Wazee wa Pwani wakimtazama Katibu Mkuu wa CHADEMA Dkt. Willibroad Slaa baada ya kumvisha nguo za kimila na kumkabidhi silaha za jadi ikiwa ni ishara ya kumtawaza kuwa Chifu wa Mkoa wa Dar es Salaam na Pwani na kumpatia jina la Chifu Mwinyikambi

Mzee Mwinyijuma Said Muhigira akimkabidhi Katibu Mku wa CHADEMA Dkt. Willibroad Saa usinga, mundu na shoka ikiwa ni ishara ya kumkabidhi Uchifu wa Mkoa wa Dar es Salaam na Pwani, ambapo Wazee wa Pwani walimtunuku Dkt. Slaa jina la Chifu Mwinyikambi.
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment