Pia, Profesa Sospeter Muhongo ambaye naye alikuwa miongoni mwa wagombea
urais wa CCM, alichukua fomu ya kuwania Ubunge wa Musoma Vijijini. Baada
ya kuchukua fomu, Waziri huyo wa zamani wa Nishati na Madini aliandika
katika ukurasa wake wa Facebook: “Leo nimechukua fomu nagombea ubunge
wa Musoma Vijijini bado ninadhamira ya dhati ya kuwatumikia Watanzania.
Tusikate tamaa.”
Aidha, aliyekuwa mgombea urais mwingine, Peter Nyalali amechukua fomu
kuwania ubunge Jimbo la Mbagala, sanjari na Mwichumu Msomi na Dominic
Francis Haule.
Baadhi ya wakuu wa mikoa, wakuu wa wilaya, Katibu wa Rais ni miongoni
mwa waliojitokeza jana kuwania ubunge maeneo mbalimbali nchini.
Kawe: Mbali ya
Makongoro, makada wengine 14 walijitokeza kuwania kiti hicho wakiwemo;
Mtiti Butiku, Yusuph Nassoro, John Mayanja, Dickson Muze na Dk Wilson
Babyebonela.
Kinondoni: Emmanuel Makene.
Ubungo: Hawa Ng’umbi na Jackson Mllengo.
Kibamba: Issa Mtemvu, Felix Mdessa, Didas Lunyungu na Stanslaus Maganga.
Ilala: Mrisho Gambo
Segerea: Nicholaus Haule na Baraka Omary.
Ukonga: Amina Mkono, Edwin Moses na Robert Masegese.
Dodoma Mjini: Haidari Gulamali.
Mbeya Mjini, Mbunge
wa sasa, Joseph Mbilinyi ‘Sugu’, Christopher Nyenyembe, Lazaro
Mwankemwa, Charles Mwakipesile, Mchungaji Jackson Numbi, Ulimboka
Mwakilili, Stephen Mwakwenda, Aman Kajuna na Aggrey Mwasanguti.
Mbeya Vijijini: Anderson Kabenga, Boniface Mwalwego na aliyekuwa mbunge wa Jimbo hilo Lackson Mwanjale.
Moses Mwaigaga, Chance Mwaikambo, Franco Mwalutende, William Msokwa,
Stephano Mwandiga, Frank Mwaisumbe, Elias Kwimba, Anthony Mwaselela,
Wila Jocob, John Mwamengo, Jeremiah Mwaweza, Hardson Sheyo, Emmanuel
Shonyela, Alimu Mwasile, Adam Zella, Nhungo Jisandu, Daud Mponzi na
Cyprian Magulu.
Kyela: Leonard Mwaikambo, John Mwaipopo na Gwakisa Mwandembwa
Mbarali: Mbunge wa jimbo hilo, Modestus Kilufi, Michael Kalenge, Haroun Mula, Injinia Burton Kihaka na Geofrey Mwangulumbi.
Moshi Vijijini: Anthony
Komu, Godlisten Malisa, Joseph Nubi, Deogratius Mushi, Clemence Chuwa,
Lucy Owenya, Nicholaus Ngowi, Evarist Kiwia na Ernest Kyambo.
Vunjo: Exaud Makyao.
Mwanga: ni Henry Kileo, Joyce Mfinanga, Mengi Kigombe, Adiel Adiel na Dk Ngoma Karua.
Same Mashariki: Onesmo Fue, Mchungaji Charles Kanyika, Allan Mmamji na Naghenjwa Kaboyoka.
Same Magharibi: Christopher Mbajo, Mhina Joel, Elisafi Godson, Erick Kazoka, Gervas Mgonja na Jonas Kadeghe.
Siha: Dk Godwin Mollel, Humphrey Tuni, Aminiel Iliso na Elvis Mosi.
Kalenga: Mbunge wa
sasa, Godfrey Mgimwa, Jackson Kiswaga, Abbas Kandoro, Grace Tendega,
Sinkala Lucas, Mussa Mdede na Mwanahamisi Muyinga.
Iringa Mjini: Frederick Mwakalebela, Nuru Hepautwa, Frank Kibiki, Dk Yahaya Msigwa na Leonce Marto.
Isimani: Mbunge wa sasa, William Lukuvi, Festo Kiswaga, Patrick Ole Sosopi na Widman Masika.
Kilolo: Venance
Mwamoto Chelztino Mofuga, Wakili Merick Luvinga, Danford Mbilinyi, Ahazi
Chali, Samsoni Mnyawami, Edgar Kihwelo, Hezron Lusapi na Brain Kikoti.
Lushoto, Husna Sekiboko (viti maalumu).
Mbeya Vijijini: Gordon Kalulunga, Charles Mwaipopo na Venance Matinya.
Kyela: Bernald John,
Babylon Mwakyambila, Lusekelo Mwasasumbe, Godfrey Mwakalukwa, Dickson
Mwaipopo, Dennis Maria, Claud Fungo, Bruno Lupondo, Michael Mwasanga,
Clemency Kyando, Alinanuswe Mwalwange na Abraham Mwanyamaki.
Rungwe Mashariki:
Dk Stephen Kimondo, Ambakisye Mwakifwange, Asifiwe Mwakalobo, Isack
Mwambona, Boniface Mwabukusi, Elias Mwakapimba, Saimon Mwamaso na Elisha
Mwambapa
Rungwe Magharibi: Deogratius
Mwailenge, Ayubu Mwakasole, Nicodemas Ngwala, Ahobokile Mwaitenda,
Sophia Mwakagenda, John Mwambigija, Barnabas Pomboma, Brown Mwaipasi,
Yassin Mwakisole, Festo Mwaipaja, Christopher Kitweka, Richard Mbalase,
Wilfredy Mwaipyana, Bertha mwakasege, Daud Mwasanga, Yusuph Asukile.
Mbarali: Jidawaya Kazamoyo, Dickson Baragasi, Grace Mboka, Tazan Ndingo, Rajab Msingo, Liberatus Mwang’ombe na Ronilick Chami.
Lupa: Victor
Kinyonga, Ernest Mwamengo, Philipo Mwakibingo, Enock Mageta, Emil
Mwangwa, Sande Sanga, Moses Mwaifunga, Mohamed Hussein, Jamson
Mwiligumo, Njelu Kasaka, George Mwaipungu na Peter Noah.
Mbozi ni Eliud
Msongole, Abraham Msyete, Solomon Kibona, Eliud Kibona, Zabron Nzunda,
Abdul Nindi, Anastazia Nzowa, Happiness Kwilabya, Fannuel Mkisi, Furaha
Mwazembe, Gift Kalinga, Pascal Haonga, Andrew Bukuku, Ambakisye kabango,
Stephen Mwakingili, Jerald Silwimba, Fadhil Shombe, Jonathan
Mwashilindi, Fredy Haonga, Bob Mwampashe, Ostern Meru, Sophia Mwabenga,
Michael Mtafya, Wilhelm Mwakavanga, Seule Nzowa, Dickson Kibona
Ileje: Nicolaus
Mtindya, Emmanuel Mbuba, Emmanuel Msyani, Gwamaka Mbughi, Cosmas
Sikinga, Leornad Fumbo, Joel Kajinga na Riziki Mbembela
Songwe: Mpoki Mwankusye, Machael Nyilawila, John Mwaniwasa, Ofugan Wanga na Frank Mwakitalima.
Arusha Mjini: Swalehe Kiluvia, Mohamed Omar, Victor Njau na Edmund Ngemela.
Sumbawanga Mjini: Mathias Koni, Paschal Sanga, Victor Vitus, Sospeter Kansapa na Fortunatus Fwema.
Kwela: Mbunge wa sasa, Ignas Malocha, Magazi, Deus Sangu, Evans Kisango na Edward Mwambi.
Morogoro Kusini Mashariki: Omary
Mgumba, Nassor Duduma, Geofrey Milonge, Michael Semindu, Judith
Mahinja, Daniel Banzi, Exavery King’usu, Seleiman Chanzi, James Angowi,
Christopher Kisilingo na Salum Hadivuni.
Morogoro Mjini: Batromeo Tarimo, Marcus Albanio, James Mabula, Steven Daza na Gerald Temba.
Morogoro Kusini: Prosper Mbena, Zubery Mfaume, Steven Lwitiko na Innocent Kalogeresi ambaye ndiye mbunge wa sasa.
Mlimba: Suzan Kiwanga, Longino Lumbanga na Dk Dim Kalolela
Kilombero: Remija Mtema, Barnabas Bwango, Godlove Nyagawa, Boniventura Haule, Aziz Himbuka, Peter Lijuakali na Addo Mchonde.
Kilosa Kati: Bahati Richardson, Shomary Mtogo, Salvatory Sege, Rajabu Msabaha, Mfaume Ngaula, Kukshe Kinyenga na Abbas Kibiki.
Mvomero: Matokeo Manyeta, Mchungaji Osward Milaji na Chacha Matango.
Mikumi: Joseph Haule, Dk Jackson Makweta, Eufransia Kihonda, Laurian Mkumbata na Mario Minja.
Gairo: Salim Mpanda, Mchungaji Piason Mwehanga, Amos Mwiyonge na Endrew Chiduo.
Ulanga Mashariki: Celestin Simba, Francisco Kibinakanwa na Jochim Mazieta.
Ulanga Magharibi: Imelda Maley, Alphonce Mvasa, Moses Balagaju, Agustino Mwandika, Imanuel Lukindo, Ivodius Mrundachuma na Alexinda Laluka.
Arusha Mjini: Noel Ole Veroya.
Viti Maalumu ni Joyce Mukya, Viola Likindikoki, Glory Kaaya, Pamela Chuwa, Teresia Minja na Grace Macha.
Mufindi Kusini: Mustapha Msovela, Creptone Madunda, Olivera Lema na Frank Matala.
Mufindi Kaskazini: Jumanne Msonda, Asheri Utamwa, Fredrick Kihwelo, Japhet Nokole na Willy Mngai.
Mwibara: David Chiriko, Edwin Kulwa, Jonathan Kaluguru na Mtamwega Mgaywa.
Musoma Mjini: Eliudi Tongora na Vicent Nyerere.
Rorya: Steven Owawa,
Kelvin Makooko, Herman Kagose, Emmanuel Werema, Jopasy Sanya, Seruka
Matiko, Martin Ndira, Thomas Patrick, Ezekiel Kachare, Judith Manyala,
Odero Odero, Emmanuel Samara, Onyango Dea na Opiyo George.
Musoma Vijijini: Baraka
Mkama, Marwa Mbeu, Reuben Mulemwa, Tungaraza Njugu, Bonphace Magesa,
Jonas Mgoka, Masatu Kyabwene, Fedinarnd Chiguma na Chilagwile Zacharia,
Profesa Sospeter Muhongo.
Serengeti: Marwa Ryoba, Mokoro Rugatiri na Rutiginga Maguye.
Bunda: Yeremia
Kurwa, Frank Makaranga, John Juma, Edga William, Suleiman Daudi, Ismail
Pius, Chacha Nyamuhanga, Lucas Kilayenga, Mathias Bandio na Jane Chacha.
Butiama: Issa Kulewera, Yusufu Kazi, Anicet Marwa, Daniel Obiya, Lucas Gradius, Johaness Marato na Adamu Taherya.
Imeandikwa
na Lauden Mwambona, Peter Saramba, Mussa Mwangoka, Rachel Chibwete,
Salim Mohammed, Zainab Maeda, Godfrey Kahango na Justa Mussa, Berdina
Majinge, Happy Lazaro, Lilian Lucas na Julius Mathias.
MWANANCHI
0 comments :
Post a Comment