Kutoka kushoto ni One Mic akiwa pamoja na Dj MO ndani ya studio ya Kilimanjaro zilizopo Beltsville, Maryland nchini Marekani.
Mcheza sinema wa Bongo Movi, Charles Magali ambaye pia ni mwimbaji
wa nyimbo za dansi(kushoto) akiwa na mwenyeji wake Kenyatta wakiwa ndani
ya Studio ya Kilimanjaro.
Charles Magali akifanyiwa mahojiano na matangazaji mahairi wa Radio
Mubelwa Bandio ndani ya studio ya Kilimanjaro iliyopo Beltsville,
Maryland.
Mtangazaji mahiri wa Radio na muuliza maswali tata, Mubelwa Bandio
akimfanyia mahojiano mcheza sinema wa Bongo movi Charles Magali siku ya
Ijumaa July 24, 2015 alipotembelea studio hiyo iliyopo Beltsville,
Maryaland.
Mahojiano yakiendelea
0 comments :
Post a Comment