MWANAMUZIKI MARIAH CAREY APATA WAKATI MGUMU PALE ALIPOTELEZA KWENYE NGAZI

Mwanamuziki Mariah Carey amepata wakati mgumu pale alipoteleza kwenye ngazi za boti ya kifahari ya mpenzi, huku mpenzi wake huyo James Packer akibaki anamuangalia tu wakati akipata msaada wa mmoja wa walinzi.
               Mlinzi huyo alikuwa na kazi kubwa ya kumsaidia Mariah asidondoke

Wakati Mariah akijaribu kujinusuru asianguke huku akiwa amevalia viatu vyenye visigino virefu bilionea Packer (47) alikuwa amekaa tu akipata mionzi ya jua katika boti yake hiyo huku akimuangalia mpenzi wake akiwa katika hali hiyo wakati wakiwa Formentera nchini Hispania.


             Bilionea Packer akionekana amekaa tu wakati bibie akijaribu kurudisha balance
                    Mariah akiwa ufukweni na mpenzi wake Packer baada ya tukio hilo
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment