
Watu watatu wamekufa baada ya ndege
ndogo kuanguka nchini Japan, na kusababisha nyumba kadhaa kuungua
moto.
Ndege hiyo ya viti vinne ilianguka
baada ya kupaa ikitokea Chofu katika uwanja wa Tokyo, shirika la umma
la NHK limeripoti.
Nyumba zipatazo mbili na magari
mawili yaliungua moto, ambapo pia watu wawili waliokuwa kwenye ndege
walikufa pamoja na mwanamke moja aliyekuwa kwenye nyumba.
0 comments :
Post a Comment