- Written by Nkupamah blog
Shirika
la tzNIC ni shirika la kitanzania, linalo endeshwa na watanzania ila
lisilo la kiserikali. tzNIC inakuwezesha kusajili domain ya tovuti yako
ya .tz. Na hivyo basi
tzNIC kwakuwa asasi isiyo ya kutafuta faida bei
zao ni ndogo sana hivyo kukuwezesha Mtanzania wa kawaida kabisa kuwa na
domain ya .tz. Hivyo pale unapo taka kusajili domain ambayo inaishia na
.tz hawa ndio wahusika wakuu ambao wametoa vibali kwa wasajili zaidi ya
43 ambao wako Tanzania nzima. Lengo kuu la tzNIC ni kukuza matumizi ya
majina ya domain yanayo ishia na .tz pamoja na kulinda maslahi ya walio
sajiliwa kwa kuwapa database ambayo ina ulinzi wa kutosha na unafuu.
Zaidi sana iwapo kuna tatizo lolote la kisheria unapokuwa na domain ya
.tz tatizo hilo linatatuliwa hapa hapa Tanzania na tzNIC. Sajili leo kwa
kupitia wasajili walio pewa vibali na tzNIC walioko karibu na wewe kwa
kubofya hapa kwa Shilingi 25,000 tuu.
Kwa maelezo zaidi, au hata kama ukitaka ku register domain yako watembele mtandanoni:
Website; http://www.tznic.or.tz/
Facebook; https://www.facebook.com/tznic
Twitter; https://twitter.com/tznic


0 comments :
Post a Comment