Mbunge
viti maalum Wazazi Phidesia Mwakitalima aliyeshinda katika kura za
maoni za kutafuta wabunge wa viti maalum mkoa wa Arusha kupitia jumuiya
ya wazazi wa chama cha Mapinduzi ( CCM ).akizungumza katika mkutano wa
chama cha mapinduzi jana mtaa wa kati (CCM MKOA)wakati wagombea 12 wa
chama hicho walipofanya ziara ya kutembelea kila kata na kujinadi kwa
wananchi pamoja na wanachama wa chama hicho ambapo aliwataka wananchi
wasirubuniwe na kama walipewa rushwa na mgombea yeyote wasimchague bali
wamchague kiongozi sahihi wa kuleta mabadiliko ya kimaendeleo katika
jimbo la Arusha.
…………………………….
Habari picha na Pamela Mollel wa jamiiblog
0 comments :
Post a Comment