Mbunge
viti maalum kundi la wananwake (UWT) Mkoa wa Arusha ,Catherine Magige
akizungumza jana katika mkutano wa wagombea Ubunge 12 kupitia chama cha
mapinduzi waliofanya ziara ya kujinadi kwa wananchama pamoja na wananchi
kuomba ridhaa ya kupeperusha bendera ya chama hicho jana katika mtaa wa
kati(CCM Mkoa),ambapo hivi karibuni Catherine aliibuka ushindi wa
kishindo kwa kura 409 kati ya kura 560 huku anayemfwatia akipata kura
248.
Habari picha na Pamela Mollel
Mbunge
viti maalum kundi la wananwake (UWT) Mkoa wa Arusha, Catherine Magige
akisalimiana na wanachama wa chama hicho jana jijini Arusha,Aliwatoa
rai kwa wananchi na wananchama wa chama cha mapinduzi kumuunga mkono
mgombea Urais Dk.John Pombe Magufuli kwani ndio chaguo la CCM,huku pia
akisisitiza wanaccm kuchagua kiongozi kwanzia ngazi ya udiwani,ubunge
anayekubalika ndani ya CCMna nje ya CCM.
Katibu
wa wazazi Mkoa wa Arusha, Mayasa Kimbau ambaye pia ni mratibu wa Mkoa
akiteta jambo na Mbunge viti maalum kundi la wananwake (UWT)Catherine
Magige Mkoa wa Arusha jana katika mtaa wa kati (CCM Mkoa) wakati wa
ziara ya watia nia wa chama cha mapinduzi wakijitambulisha na kujinadi
kwa wanachama kuomba ridhaa ya kupitishwa na chama hicho katika nafasi
ya Ubunge.
Mbunge
viti maalum kundi la wananwake (UWT)Catherine Magige Mkoa wa Arusha
akifurahia jambo na mwenyekiti wa wilaya ya Arusha katika ofisi za chama
cha mapinduzi jijini Arusha jana wakati watia nia ubunge 12 kupitia
chama hicho walipata nafasi ya kujinadi kwa wananchi na wanachama wa
chama hicho.
Mbunge
viti maalum kundi la wananwake (UWT) Mkoa wa Arusha, Catherine Magige
akizungumza na waandishi wa habari siku alipotangazwa kuwa mshindi.
This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
0 comments :
Post a Comment