
Prof. Mwandosya amesema jambo la
rais kulihutubia bunge ni sula muhimu sana hivyo si vyema mbunge ama
kundi fulani la wabunge kuwepo nje ya bunge wakati rais atakapokuwa
analihutubia bunge.
Kauli hiyo ya Prof. Mwandosya ameitoa leo Bungeni, ikiwa siku chache tu kupita tangu Mkuu wa kambi ya Upinzani bungeni ambaye pia ni Mwenyekiti mwenza wa Umoja wa Katika ya Wananchi (KAWA) Mhe. Freeman Mbowe kusema wabunge wa umoja huo hawatarejea tena bungeni


0 comments :
Post a Comment