Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Jakaya Kikwete,
akizungumza wakati wa uzinduzi wa Ukumbi mpya wa mikutano wa CCM wa
Dodoma Convention Centre, uliopo mjini Dodoma, leo Julai 9, 2015. Picha
na OMR
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Jakaya Kikwete,
akibonyeza kitufye cha kengere kuashiria uzinduzi rasmi wa Ukumbi mpya
wa mikutano wa CCM wa Dodoma Convention Centre, uliopo maeneo ya .....
mjini Dodoma, leo Julai 9, 2015
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Jakaya Kikwete, na
Balozi wa China nchini Tanzania, kwa pamoja wakifunua kitambaa kuashiria
kuzindua rasmi Ukumbi mpya wa mikutano wa CCM wa Dodoma Convention
Centre, uliopo mjini Dodoma, wakati wa hafla ya uzinduzi iliyofanyika
leo Julai 9, 2015
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Jakaya Kikwete,
akimkabidhi mfano wa ufunguo wa Ukumbi mpya wa mikutano wa CCM wa Dodoma
Convention Centre, Katibu Mkuu wa CCM Bara, Abrahman Kinana, baada ya
kuzindua rasmi ukumbi huo leo, mjini Dodoma
Rais jakaya Kikwete, akionyesha mfano wa ufunguo wa Ukumbi huo baada
ya kukabidhiwa wakati wa hafla ya uzinduzi wa ukumbi huo leo, mjini
Dodoma
Picha ya pamoja na baadhi ya Viongozi wa Chama na Serikali baada ya uzinduzi huo
Rais Jakaya Kikwetena baadhi ya Viongozi, wakitembelea kukagua ukumbi huo baada ya uzinduzi.
Picha ya pamoja baada ya kutembelea kukagua ukumbi huo
0 comments :
Post a Comment