RAIS KIKWETE AWASILI DODOMA MCHANA HUU TAYARI KWA KUONGOZA KIKAO CHA KAMATI YA MAADILI NA USALAMA YA CHAMA

 Mwenyekiti wa CCM Taifa ,Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiteremka kwenye kiwanja cha Ndege Dodoma tayari kwa kuongoza kikao cha Kamati ya Maadili na Usalama ya Chama.
 Mwenyekiti wa CCM Taifa Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana mara baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Dodoma.

 Mwenyekiti wa CCM Taifa Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi CCM  Ndugu Nape Nnauye mara baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Dodoma.
 Mwenyekiti wa CCM Taifa ,Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Jakaya Kikwete akiwasalimia wananchi waliojitokeza kumpokea kwenye uwanja wa ndege mkoani Dodoma.
 Mwenyekiti wa CCM Taifa ,Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Jakaya Kikwete akiimba na wana CCM waliojitokeza kumpokea kwenye uwanja wa ndege mkoani Dodoma.
(Picha na Adam Mzee)
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment