- Written by Nkupamah blog
Mkuu wa
Chuo cha Taifa cha Ulinzi Major General G.S Milanzi kulia akiongea na
Mkurugenzi wa Idara ya Maendeleo ya Utamaduni Wizara ya Habari, Vijana,
Utamaduni na Michezo Prof. Helmas Mwansoko kushoto kabla ya Prof.
Mwansoko kutoa Mhadhara juu ya Utamaduni unavyochangia katika usalama na
ulinzi wa Nchi kwa Viongozi wa Ulinzi na usalama wa ndani na nje ya
nchi pamoja na Taasisi za umma.Mhadhara huo umefanyika jijini Dar es
Salaam leo.
Mkurugenzi
wa Idara ya Maendeleo ya Utamaduni Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni
na Michezo Prof. Helmas Mwansoko akitoa mada kwa Viongozi wa Ulinzi na
usalama wa ndani na nje ya nchi pamoja na Taasisi za umma juu ya
Utamaduni unavyochangia katika usalama na ulinzi wa Nchi .Mhadhara huo
umefanyika jijini Dar es Salaam leo.
Mkurugenzi
wa Idara ya Maendeleo ya Utamaduni Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni
na Michezo Prof. Helmas Mwansoko akitoa mada kwa Viongozi wa Ulinzi na
usalama wa ndani na nje ya nchi pamoja na Taasisi za umma juu ya
Utamaduni unavyochangia katika usalama na ulinzi wa Nchi .Mhadhara huo
umefanyika jijini Dar es Salaam leo.Picha na Benjamin Sawe.(VICTOR)

0 comments :
Post a Comment