Saturday, July 11, 2015
Nkupamah blog
Kazi ya upigaji kura inaendelea hivi sasa katika mkutano wa Halmashauri Kuu (NEC), ambapo majina matatu yatapatikana na kupelekwa katika mkutano mkuu utakaoanza majira ya saa 3:00 usiku.
Aidha, mkutano huo umempitisha mh. Ali Mohamed Shein kuwa Mgombea wa Urais kwa upande wa Zanzibari.
Maandamano nje ya ukumbi yanaendelea kushinikiza jina la Lowassa Lirudishwe.
Nkupamah blog



0 comments :
Post a Comment