- Written by Nkupamah blog
Afisa
Mwandamizi wa Uendelezaji Biashara wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC),
Salvatory Hinju akitoa maelezo namna Shirika la Nyumba linavyofanya
kazi zake kwa Wateja waliofika kwenye banda la maonyesho la Shirika hilo
lililopo ndani ya viwanja vya Maonyesho vya Sabasaba (Mwalimu Nyerere)
katika maonyesho ya 39 ya biashara ya kimataifa. Anayeshuhudia ni Afisa
Mauzo Mwandamizi, Joseph Haule.
Meneja
wa Usimamizi Miliki wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC), Elias Msese
Mlwande akitoa maelezo namna Shirika la Nyumba linavyofanya kazi zake
kwa Wateja waliofika kwenye banda la maonyesho la Shirika hilo lililopo
ndani ya viwanja vya Maonyesho vya Sabasaba (Mwalimu Nyerere) katika
maonyesho ya 39 ya biashara ya kimataifa.
Afisa
Mwandamizi wa Mauzo wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC),
Sophia Mwema
akitoa maelezo namna Shirika la Nyumba linavyofanya kazi zake kwa Wateja
waliofika kwenye banda la maonyesho la Shirika hilo lililopo ndani ya
viwanja vya Maonyesho vya Sabasaba (Mwalimu Nyerere) katika maonyesho ya
39 ya biashara ya kimataifa.
Banda
la Maonyesho la Shirka la Nyumba la Taifa (NHC) lililopo langoni kuu la
kuingilia kushoto kama unaingia Viwanja vya Mwalimu Nyerere kwenye Maonyesho ya Biashara ya Kimataifa ya 39 yanayoendelea.
Afisa
Mauzo wa NHC Raphael Makao akitoa maelezo namna Shirika la Nyumba
linavyofanya kazi zake kwa Wateja waliofika kwenye banda la maonyesho la
Shirika hilo lililopo ndani ya viwanja vya Maonyesho vya Sabasaba
(Mwalimu Nyerere) katika maonyesho ya 39 ya biashara ya kimataifa.
Anayeshuhudia ni Afisa mwenzake Wilson Sanane.
0 comments :
Post a Comment