Afisa Madini Mkazi, Mkoa wa
Kilimanjaro, Fatuma Kyando akielezea sheria na kanuni za uchimbaji wa
madini nchini katika mafunzo yaliyoshirikisha wachimbaji wa madini
Mirerani kuanzia Julai 25- 26 2015. Lengo la mafunzo hayo lilikuwa ni
kuwapa uelewa juu ya huduma za leseni kwa njia ya mtandao.
Kamishna Msaidizi wa Madini Kanda ya Kaskazini Alex Magayane (kulia) akifungua mafunzo hayo.
Baadhi ya washiriki wa semina hiyo wakifuatilia kwa makini mada zilizokuwa zinawasilishwa kwa nyakati tofauti.
Mtaalam kutoka Idara ya Madini,
Wizara ya Nishati na Madini (kushoto) Pendo Elisha akitoa mada kuhusu
namna ya kujiunga na huduma ya leseni kwa njia ya mtandao mbele ya
wachimbaji wa madini (hawapo pichani) Kulia kabisa ni Mhandisi Migodi
katika Ofisi ya Afisa Madini Mkazi –Mirerani, Fedrick Phinius
0 comments :
Post a Comment