|
Bondia Lulu Kayage akiwa katika
uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere kwa ajili ya safari yake
ya Afrika kusini kupigana mpambano
mwingine agoust 28
picha na SUPER D BOXING NEWS
|
……………………………………………
Na Mwandishi Wetu
BONDIA wa Kike Lulu Kayage amenda
tena nchini Afrika ya kusini kwa ajili ya mpambano wake mwingine na
bondia mwingine kutoka uko utakaofanyika agost 28 nchini Afrika ya
kusini
akiongea kabla ya kupanda ndege bondia huyo alijingamba kuwa ataenda uko na atashinda kwa kuwa yupo fiti zaidi kwa sasa
hivyo nitaendeleza wimbi la ushindi aliongeza kwa kusema anaomba duwa kwa watanzania wamuombee ili aweze kumchakaza msauzi uyo tena kwa K,O mbaya kama alivyo mpiga
mwenzake Lizbeth Sivhag bondia huyo aliyeambatana na bondia mkongwe wa siku nyingi George Sabuni kwa ajili ya kumbumbusha mambo mbalimbali awapo uringoni
amesema kwa sasa watanzania wategemee furaha kutoka kweke kwani mchezo anaocheza ni mgumu sana na yeye amejizatiti kuleta mafanikio kwa taifa nzima la Tanzania

0 comments :
Post a Comment