Gari mpya ya Christian Bella, ifahamu thamani yake


Published @nkupamah blog
11350764_1167718576578336_447179644_nChristian Bella akiwa kwenye gari yake mpya
Msanii mkali ni lazima awe na gari kali. Christian Bella amesema anapenda kuwa na magari mengi na ndio maana ameamua kununua gari jipya aina ya
Toyota Harrier.
Akizungumza na Bongo5 leo akiwa mwenye furaha, hitmaker huyo wa Nani Kama Mama amesema bado anatamani kuwa na magari mengi zaidi na ya thamani.
“Mimi napenda sana kuwa na magari mengi ndio maana nikipata pesa na gari nikilitamani nalinunua tu,” amesema. “Tatizo ni pesa, leo gari yangu mpya imeingia Toyota Harrier. Hii gari niliagizia ndio imeingia, nimenunua shilingi milioni 35.
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment