MAGUFULI AKAGUA UJENZI WA BARABARA YA TENGERU-SAKINA (KM 14.1) ITAKAYOJENGWA KWA NJIA NNE MKOANI ARUSHA


Waziri wa Ujenzi Dkt. John Pombe Magufuli (Mb) akizungumza na wakazi wa Patandi, Sangis na Tengeru kuhusu ujenzi wa barabara ya Sakina-Tengeru yenye urefu wa km 14.1 itakayojengwa kwa njia nne pamoja na madaraja makubwa mawili.

Sehemu ya barabara ya Tengeru-Sakina katika eneo la Patandi ikiwa imeanza kufanyiwa ukarabati utakaohusisha ujengwaji wa njia nne kwa kiwango cha lami.

Mtendaji Mkuu wa Wakala wa barabara nchini TANROADS  Eng. Patrick Mfugale akitoa maelezo ya Mradi wa Ujenzi wa barabara hiyo pamoja na Barabara ya Arusha bypass km 42.4



Mkuu wa Mkoa wa Arusha Felix Ntibenda  kushoto akifurahia jambo na Waziri wa Ujenzi Dkt. John Pombe Magufuli (Mb) baada ya ukaguzi wa barabara hiyo.



Mchoro ukionyesha jinsi mradi huo utakavyohusisha maeneo mbalimbali ya ujenzi huo kuanzia Sakina hadi Arushapamoja na ujenzi wa madaraja
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment