Kaimu
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa, Felix Maagi akizungumza
katika hafla ya utiaji saini iliyofanyika Hyatt Regency, The Kilimanjaro
Hotel, Dar-es-Salaam leo asubuhi. Leo NHC imetiliana rasmi saini na
benki na taasisi za Diamond Trust Bank Tanzania Limited, Equity Bank
Tanzania Limited, First National Bank Tanzania Limited, International
Commercial Bank Tanzania Limited.
Tayari
NHC inafanya kazi na benki kumi na mbili ambazo ni Azania Bank, Bank of
Africa, Bank ABC, Commercial Bank of Africa, CRDB Bank, Dar es Salaam
Community Bank, Exim Bank, KCB Bank, National Bank of Commerce, NIC
Bank, National Microfinance Bank na Stanbic Bank.
PICHA ZOTE ZA KITENGO CHA MAWASILIANO NA HUDUMA KWA JAMII CHA NHC.
Kaimu
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa, Felix Maagi akizungumza
katika hafla ya utiaji saini iliyofanyika Hyatt Regency, The Kilimanjaro
Hotel, Dar-es-Salaam leo asubuhi. Leo NHC imetiliana rasmi saini na
benki na taasisi za Diamond Trust Bank Tanzania Limited, Equity Bank
Tanzania Limited, First National Bank Tanzania Limited, International
Commercial Bank Tanzania Limited.
Tayari
NHC inafanya kazi na benki kumi na mbili ambazo ni Azania Bank, Bank of
Africa, Bank ABC, Commercial Bank of Africa, CRDB Bank, Dar es Salaam
Community Bank, Exim Bank, KCB Bank, National Bank of Commerce, NIC
Bank, National Microfinance Bank na Stanbic Bank.
Mkurugenzi
Mtendaji wa Taasisi ya mikopo ya nyumba ya Tanzania Mortgage Refinance
(TMRC), Oscar Mgaya akizungumza katika hafla ya utiaji saini ya NHC na
mabenki manne iliyofanyika Hyatt Regency, The Kilimanjaro Hotel,
Dar-es-Salaam leo asubuhi.
Kaimu
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa,Felix Maagi pamoja
na Mwakilishi wa benki ya Diamond Trust Bank Tanzania
Limited wakitiliana saini ya makubaliano kuwezesha kutoa mikopo ya
Nyumba kwa wananchi hapa nchini.
Kaimu
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa,Felix Maagi akipena mkono
na Mwakilishi wa benki ya Diamond Trust Bank Tanzania
Limited mara baada ya kutiliana saini ya makubaliano.hayo.
Kaimu
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa , Felix Maagi pamoja na
Meneja Mkuu wa Mikopo wa Equity Bank wakitiliana saini ya makubaliano
kuwezesha kutoa mikopo ya Nyumba kwa wananchi hapa nchini.
Kaimu
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba Tanzania,Felix Maagi akipena mkono
na Meneja Mkuu wa Mikopo wa Equity Bank mara baada ya kutiliana saini
ya makubaliano hayo.
Kaimu
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa, Felix Maagi pamoja na
Mkuu Huduma za Wateja wa Benki ya First National Bank Tanzania Limited,
Francois Bank wakitiliana saini ya makubaliano kuwezesha kutoa mikopo ya
Nyumba kwa wananchi hapa nchini.
Kaimu
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba Tanzania,Felix Maagi akipena mkono
na Mkuu Huduma za Wateja wa Benki ya First National Bank Tanzania
Limited, Francois Bank mara baada ya kutiliana saini ya makubaliano
hayo.
Kaimu
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa, Felix Maagi pamoja na
Mwakilishi wa International Commercial Bank Tanzania
Limited wakitiliana saini ya makubaliano kuwezesha kutoa mikopo ya
Nyumba kwa wananchi hapa nchini.
Kaimu
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa, Felix Maagi akipena
mkono na Mwakilishi wa International Commercial Bank Tanzania
Limited mara baada ya kutiliana saini ya makubaliano hayo.
Kaimu
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa, Felix Maagi akiwa katika
picha ya pamoja na wawakilishi wa benki nne zilizoingia mkataba na NHC.
Kaimu
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa, Felix Maagi akiwa katika
picha ya pamoja na wawakilishi wa benki nne zilizoingia mkataba na NHC.
Kaimu
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba Tanzania,Felix Maagi akijadiliana
jambo na Mkuu Huduma za Wateja wa Benki ya First National Bank Tanzania
Limited, Francois Bank kabla ya kutiliana saini ya makubaliano hayo.
0 comments :
Post a Comment