Mkuu wa Kitengo cha Huduma na Mawasiliano waNHC,
Bi Suzan Omari akipata maelezo kutoka kwa baadhi ya wafanyakazi wa
shirika hilo waliokuwa wakisimamia michezo mbalimbali wakati wa tamasha
la NHC Family Day lililofanyika kwenye hoteli ya Kunduchi Beach mwishoni
mwa wiki likishirikisha wafanyakazi wa shirika hilo jijini Dar es
salaam na familia zao na kufahamiana ikiwani pamoja na kubadilishana
mawazo.
Wafanyakazi hao wakishindana katika mbio ufukweni.
Mmoja wa wafanyakazi wa NHC akiwa amejishindia Jogoo katika shindano la kufukuza kuku.
Baadhi ya wafanyakazi wakijiandaa kushindana katika mbio za magunia.
Wakichuana vikali katika mbio za magunia.
Lazima kitoweo kikamatwe hapa.
Mkuu wa Kitengo cha Huduma na Mawasiliano waNHC, Bi Suzan Omari akishiriki katika kusimamia upangaji wa timu za mpira wa miguu.
Walishiriki pia katika mchezo huu ambao niliwahi kuucheza sana nikiwa mtoto.
Mchuano wa kuvuta kamba
Baadhi ya wakipiga picha ya pamoja mara baada ya kumalizika kwa michezo hiyo
0 comments :
Post a Comment