Wachezaji wa timu ya Tanzania Stars United Bara wakifurahia kikombe
cha utamaduni walichoshinda leo katika mashindao ya Tamasha 2015
yaliyoshirikisha timu 4, Kenya, Rwanda, Zanzibar na Tanzania Stars
United Bara.
Manahodha wa timu ya Tanzania Stars United Bara na Rwanda wakiwa
katika picha ya pamoja na marefa katika mechi ya kwanza ambayo Tanzania
Stars United Bara waliibamiza Rwanda mabao 5-1
Kwa picha zaidi bofya soma zaidi
Timu ya Rwanda.
Timu ya Tanzania Stars United Bara.
Timu ya Kenya.
Timu ya Zanzibar iliifunga Kenya bao 1-0 na kuingia fainali.
Manahodha wa timu ya Kenya na Zanzibar wakiwa katika picha ya pamoja na marefa kutoka Malawi.
Ikirushwa shilingi.
Kocha wa Zanzibar shekh Omar akifuatilia mchezo wa Kenya na Zanzibar.
Golikipa Adam akiokoa penati ya Kenya na kuipeleka Zanzibar fainali baada ya mchezaji wa Zanzibar kuunawa mpira ndani ya Box.
Mashabiki wa Tanzania Stars United Bara.
Mashabiki wa Zanzibar.
Mashabiki wa Kenya.
Timu ya Tanzania Stars United Bara mechi ya fainali na Zanzibar.
Timu ya Zanzibar mechi ya fainali na Tanzania Stars United Bara.
Picha ya pamoja.
Picha ya pamoja.
Picha ya pamoja.
Picha ya pamoja.
Picha ya pamoja.
Mwaandaaji wa mashindano akiongea machache
Mgeni rasmi kutoka Ubalozi wa Kenya Julius Bargorett ambaye ni
Ibrahim nahodha wa Tanzania Stars United Bara akikabidhwa kikombe na mwanaadji wa Tamasha 2015.
Kombe letu hili hapa shama shama za ushindi zikiendelea
Shabiki akipata ukodak momenti
0 comments :
Post a Comment