Linex aliigonga gari ya Mkuu wa Wilaya Paul Makonda usiku, Kilichotokea?.

Wednesday, November 25, 2015

  @nkupamah blog
 
Msanii wa muziki wa Bongo Flava Sunday ‘Linex’ Mjeda, ameamua kuelezea mkasa uliomkuta baada ya ‘kuikwangua’ gari ya mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Paul Makonda wiki tatu zilizopita.
Kupitia ukurasa wake wa Facebook,Linex ameelezea Ikhsani aliyofanyiwa na Makonda licha ya kumfanyia makosa.
Usome ujumbe wake hapo chini then tuachie maoni yako.
“Katika mizunguko ya hapa na pale Kama week mbili tatu zilizo pita majira ya saa 9:00 usiku kwa bahati mbaya nilipiga pasi gari la mtu nikashuka kwa lengo LA kufanya makubaliano nae mala nikashangaa ameshuka mh @paulmakonda kwa kua sijawahi kukaa nae kokote wala kufahamiana nae nikajua Leo yamenifika lakini cha kushangaza aliposhuka
Aliangalia wapi pamekwaruzika then akaniambia ni bahati mbaya wakati mi nilijua atatumia nguvu au nafasi aliyo nayo serikalini kweli usiamini unachosikia au kuona hata chumvi saa nyingine hua Ina fanana na sukari ‪#‎TheVOA”  ameandika Linex.‬
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment