RATIBA RASMI YA MAZISHI YA ALPHONCE MAWAZO


RATIBA RASMI YA MAZISHI YA ALPHONCE MAWAZO ALIYEKUA MWENYEKITI WA CHADEMA MKOA WA GEITA.

 Waheshimiwa Viongozi nitumie fursa hii kuwajulisha ratiba ya
mazishi ya Mhe. Kamanda A. C. Mawazo. Kama ifuatavyo:

1. Tarehe 21/11/2015 kuaga mwili jijini MWANZA uwanja wa Furahisha na muda SAA 8 -12 jioni.

2.Tarehe 22/11/2015 kuaga mwili Geita, saa 6-10 jioni.

3.Tarehe 23/11/2015 ni Mazishi Kijiji Chikobe Busanda-Geita,nyumbani kwa Marehemu
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment