Watu
7 wamefariki dunia wengine 3 bado hawajapatikana katika matukio mawili
tofauti ya kuzama kwa boti 2 zilizokuwa zimebeba abiria kuelekea katika
kisiwa cha Songosongo Kilwa mkoani Lindi.
Kamanda wa Polisi mkoani humo Renata Mzinga amethibitisha kutokea kwa ajali hiyo.
endelea kutufuatilia kwa taarifa zaidi
CHANZO: ITV TANZANIA
CHANZO: ITV TANZANIA
0 comments :
Post a Comment