KILICHOTOKEA BAADA YA YOUNG DEE KUCHANA NOTI YA 10000 NA KUIPOSTI INSTAGRAM

Nkupamah media

YOUNG DEE 

Kupitia ukurasa wake wa instagram leo msanii rapa wa Bongo Fleva Maarufu kama Young Dee aliposti picha ya vipande vya noti ya shilingi 10000, ambayo aliiandikia maneno ya ” Ila ingekuwa $USD nisingethubutu… kabla hujacommenti do the math…” jambo ambalo lilizua mjadala mkubwa naku wafanya watu wamtolee maneno makali kuashiria kuchukizwa na jambo hilo kwa kuwa waliamini kuwa amechana noti hiyo.

Hata hivyo ndani ya dakika chache msanii huyo aliondoa picha hiyo bila kuongea kitu chochote, lakini kabla ya kuondolewa kwa picha hiyo tayari www.mtembezi.com ilikuwa imesha zinasa picha zote kama zinavyo onekana hapo chini
IMG-20151224-WA0062IMG_20151224_190649_315IMG_20151224_190608_935

Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment