Vifaa
vyote vya kutangazia katika Studio ya Hits FM Radio vilivyoteketea kwa
moto usiku wa juzi katika studio hiyo mara baaada ya kuvamiwa na watu
wasipjuulikana huko Migombani Mjini Zanzibar
Waandishi wa habari wakisikiliza kwa makini maelezo yanayotolewa na
Mkuu wa kituo cha Hits FM Mohammed Abdallah hayupo pichani mara baada
ya kuunguzwa kituo cha Radio hiyo.
Mwandishi
wa habari akimuhoji Mkuu wa Utawala wa Afisi kuu ya CCM FM Salum
Khatibu Reja alipofika katika kituo cha Radio ya Hits FM na kujionea
hali ya kituo hicho.
Waandishi
wa habari wakisikiliza kwa makini maelezo yanayotolewa na Mkuu wa kituo
cha Hits FM Mohammed Abdallah hayupo pichani mara baada ya kuunguzwa
kituo cha Radio hiyo.
Mwenyeki
ti wa MCT Suleiman Seif katikati akifafanuwa jambo kwa waandishi wa
habari kuhusiana na kutiwa moto Hits FM Radio usiku wa juzi iliyopo
Migombani Mjini Zanzibar.
0 comments :
Post a Comment