Mkurugenzi wa Kampuni ya Jambo
Concerpt na Gazeti la Jambo leo Bw. Juma Pinto akiwa katika picha ya
pamoja na DJ John Peter Pantalakis kushoto na DJ Masoud Masoud kwenye
uzinduzi wa kiwanja cha City Sports Lounge Posta maarufu kwa kuonyesha
mipira ya ligi mbalimabli za ulaya, uzinduzi huo umefanyika alhamis wiki
hii na kuhudhuriwa na wageni waalikwa
mbalimbali. uzinduzi huo
umefanyika kufuatia ukarabati na uboreshaji wa mambo mbalimbali katika
klabu hiyo yaliyofanyika kwa muda wa mwezi mmoja.
Kutoka kulia ni Mwesa, Ally na Helman wakibadilishana mawazo huku wakishuhudia zunduzi huo.
Chacha Maginga na wadau wenzake wakipozi kwa picha.
Wahudumu waliovalia sare nzuri wakwasikiliza wageni waalikwa katika uzinduzi huo.
Wageni waalikwa mbalimbali walihudhuria katika uzinduzi huo
0 comments :
Post a Comment