MAADHIMISHO YA SIKU YA KUJITOLEA DUNIANI YAFANYIKA JIJINI DAR

GB1 
Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni Prof. Elisante Ole Gabriel wa pili kutoka kulia akiongea na wanahabari katika maadhimisho ya siku ya kujitolea duniani yaliyofanyika jijini Dar es Salaam leo,wa kwanza kulia ni Afisa Mtendaji Mkuu wa Shirika lisilo la Kiserikali la Volountary Overseas (VSO) Dkt. Philip Goodwin.
GB2 
Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Prof. Elisante Ole Gabriel akiongea na vijana wanaojishughulisha na shughuli mbalimbali za kujitolea katika taasisi mbalimbali wakati wa
maadhimisho ya siku ya kujitolea duniani yaliyofanyika jijini Dar es Salaam leo.
GB3Bi Ritha Mushi (VSO Volunteer) akiongea na Vijana wenzake juu ya umuhimu wa kujitolea katika kongamano la siku ya kujitolea duniani lililofanyika jijini Dar es Salaam leo.
GB4 Bw. Ian Tarimo anaejitolea katika Shirika lisilo la Kiserikali la Youth For Change akiongea na Vijana wanaojishughulisha na shughuli mbalimbali za kujitolea katika taasisi mbalimbali wakati wa maadhimisho ya siku ya kujitolea duniani yaliyofanyika jijini Dar es Salaam leo.
GB5Dr Ven kutoka DFID akiwaasa vijana wanaojishughulisha na shughuli mbalimbali za kujitolea katika taasisi mbalimbali wakati wa maadhimisho ya siku ya kujitolea duniani yaliyofanyika jijini Dar es Salaam leo.
GB6Kijana akipata maelezo juu ya utendaji kazi wa shirika lisilo la Kiserikali la JICA wakati wa kongamano la siku ya kujitolea lililofanyika jijini Dar es Salaam leo.
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment