Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akizungumza na Wazee wa kijiji cha Mbekenyera wilayani Ruangwa
wakati alipokwenda nyumbani kwa Bw. Issa Mohamed kutoa pole kufuatia
kifo cha mwanafamilia hiyo, Shari Malanda, Desemba 22, 2015.
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majliwa
akizungumza na Mzee Mohammed Chingwele (katikati) na mwanae Issa
Mohammed (kulia) wakati alipokwenda nyumbani kwao katika kijiji cha
Mbekenyera wilayani Ruangwa kuwapa pole kwa kifo cha mwanafamilia Shari
Maranda, Desemba 22, 2015.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akizungumza na madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Ruangwa kwenye
ukumbi wa Chama cha Walimu cha Wilaya ya Ruangwa Desemba 22, 2015. Kulia
ni Mwenyeikiti wa CCM wa Mkoa wa Lindi Ali Mohammed Mtopa na kushoto
ni Mkuu wa Mkoa wa Lindi Jordan Lugimbana.
Baadhi ya watendaji wa Halmashauri
ya Wilaya ya Ruangwa na Madiwani wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kasim
Majliwa wakati alipozungumza nao kwenye ukumbi wa Chama cha Walimu cha
wilaya ya Ruangwa Desemba 22, 2015.
0 comments :
Post a Comment