ACCRA,Ghana
KATIKA kile kinachoonekana kama ni kuonyesha mfano kwa viongozi wengine Duniani,Mkakati wa Rais Magufuli wa kubana matumizi ya Serikali kwa kuzui safari za nje umeonekana kama ni mpango bora zaidi katika Serikali ya Ghana ambapo mapema hivi karibuni Serikali ya nchi hiyo inayoongozwa na Mhe John Draman imezuia safari zote za nnje ya nchi ambapo imeweka wazi kama kuna ulazima wa kusafiri basi maofisa wa Serikali wasafiri kwa daraja la mwisho ili kupunguza gharama hizo
0 comments :
Post a Comment