Rais
mstaafu wa Awamu ya Nne, Jakaya Kikwete (katikati), akizungumza na
Waziri wa Maji, Gerson Lwenge wakielekea kukagua mitambo ya kusafisha na
kusafirisha maji Wami, katika Halmashauri ya Mji wa Chalinze, mkoani
Pwani, Desemba 30, 2015.

Rais Jakaya Kikwete na Lwenge wakiangalia mitambo ya kusafisha maji

Wakiwa katika picha ya pamoja

Rais
mstaafu wa Awamu ya Nne, Jakaya Kikwete , akizungumza na Waziri wa
Maji, Gerson Lwenge (kushoto kwake) wakielekea kukagua mitambo ya
kusafisha na kusafirisha maji Wami, katika Halmashauri ya Mji wa
Chalinze, mkoani Pwani jana.Wa pili kulia ni Mbunge wa Jimbo la Chalinze,
Ridhiwani Kikwete.

Rais mstaafu wa Awamu ya Nne, Jakaya Kikwete akionesha kitu walipotembelea mitambo ya maji Wami


Mbunge wa Jimbo la Chalinze, Ridhiwani Kikwete akizungumza na Waziri wa Maji na Umwagiliaji, Gerson Lwenge katika mitambo hiyo.
0 comments :
Post a Comment