Nkupamah media
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais-TAMISEMI Mh. George Simbachawene amemsimamisha kazi Mtendaji Mkuu wa DART, Bi. Asteria Mlambo kwa kushindwa kuzingatia Sheria ya Manunuzi ya Umma wakati wa kumpata mtoa huduma katika kipindi cha mpito.
Simbachawene
amesema mtendaji huyo alishindwa kuchukua hatua hata pale alipobaini
kuwa mtoa huduma wa mpito amekiuka masharti ya mkataba wa kutoa huduma
ya mpito na kufanya maamuzi makubwa pasipo kuishirikisha Bodi ya Ushauri
ya DART.
0 comments :
Post a Comment