WAZEE KUHUDUMIWA KWANZA HOSPITALINI KWA KAULI MBIU YA MPISHE MZEE KWANZA APATE HUDUMA.

Nkupamah blog

DAR ES SALAAM

Waziri wa Afya,Maendeleo ya Jamii,Jinsia,Wazee na Watoto,Ummy Mwalimu ameagiza vituo vyote vya serikali vya kutolea huduma za afya nchini, kwenye dirisha la mapokezi,vyumba vya madaktari na sehemu ya
dawa zinaandikwa “mpishe mzee kwanza apate huduma”.
Agizo hili linakwenda sambaba na uwepo wa madirisha ya wazee katika vituo vyote vya serikali vya kutolea huduma za afya.
Mhe Ummy pia amehidi kupeleka Bungeni Mswada wa Sheria ya Taifa ya Wazee ktk Bunge la mwezi Septemba ili kuhakikisha haki na stahili za wazee nchini zinatekelezwa kikamilifu. Wazee walieleza kero zao kubwa ni kupata matibabu, kutokuwa na kipato cha uhakika na vitendo vya kudharauliwa na jamii.
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment