Nkupamah media
Rais
John Pombe Joseph Magufuli akiweka udongo kaburini wakati wa mazishi ya
dada yake Rais Mstaafu Dkt Jakaya Kikwete, Marehemu Tausi Khalfani
Kikwete kijijini Msoga wilaya ya Chalinze Mkoa wa Pwani leo Jumatatu
Desemba 21, 2015.
Rais
Mstaafu Alhaj Ali Hassan Mwinyi akiweka udongo kaburini wakati wa
mazishi ya dada yake Rais Mstaafu Dkt. Jakaya Kikwete, Marehemu Tausi
Khalfani Kikwete kijijini Msoga wilaya ya Chalinze Mkoa wa Pwani leo
Jumatatu Desemba 21, 2015.
Rais
Mstaafu Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiweka udongo kaburini wakati wa
mazishi ya dada yake, Marehemu Tausi Khalfani Kikwete kijijini Msoga
wilaya ya Chalinze Mkoa wa Pwani leo Jumatatu Desemba 21, 2015.
Rais
Dkt. John Pombe Joseph Magufuli, Marais Wastaafu Alhaji Ali Hassan
Mwinyi na Dkt Jakaya Mrisho Kikwete wakishiriki katika dua wakati wa wa
mazishi ya dada yake Rais Mstaafu Dkt Jakaya Kikwete, Marehemu Tausi
Khalfani Kikwete kijijini Msoga wilaya ya Chalinze Mkoa wa Pwani leo
Jumatatu Desemba 21, 2015.
Rais
Dkt John Pombe Joseph Magufuli na Rais Mstaafu kt Jakaya Mrisho Kikwete
wakiondoka makaburini baada ya mazishi ya dada yake Rais Mstaafu Dkt
JAkaya Kikwete, Marehemu Tausi Khalfani Kikwete kijijini Msoga wilaya ya
Chalinze Mkoa wa Pwani leo Jumatatu Desemba 21, 2015. (PICHA NA IKULU).
0 comments :
Post a Comment