Polisi yapambana na majambazi Mkuranga


Dar es Salaam. Mapigano makali yanaendelea kati ya polisi na watu wanaosadikiwa kuwa ni majambazi eneo la Vikindu, wilaya ya Mkuranga, mkoa wa Pwani.
Timu ya Mwananchi iliyo eneo la tukio imeshuhudia  magari ya polisi (defenda) zaidi ya 16 yakifika eneo la tukio huku polisi wakiwa wameshika silaha zao kwa umakini mkubwa.
Kadhalika, magari yanayokwenda maeneo ya Vianzi Mkurang, Malela, Pemba Mnazi, Mfuru  zimefungwa kutokana na mapambano hayo.
By Midraji Ibrahim na Ibrahim Bakari, Mwananchi mwananchipapers@mwananchi.co.tz
CHANZO:Mwananchi

Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment