Rais Dkt John Pombe Joseph
Magufuli akisalimiana na Mjumbe Maalum wa Rais Paul Kagame wa Rwanda
ambaye pia ni Waziri wa Mambo ya Nje wa nchi hiyo Mhe. Louise Mushikwabo
Ikulu jijini Dar es salaam leo Disemba 23, 2015
Rais Dkt
John Pombe Joseph Magufuli akizungumza na Mjumbe Maalum wa Rais Paul
Kagame wa Rwanda ambaye pia ni Waziri wa Mambo ya Nje wa nchi hiyo Mhe.
Louise Mushikwabo Ikulu jijini Dar es salaam leo Disemba 23, 2015
Rais Dkt John Pombe Joseph
Magufuli akimsindikiza Mjumbe Maalum wa Rais Paul Kagame wa Rwanda
ambaye pia ni Waziri wa Mambo ya Nje wa nchi hiyo Mhe. Louise Mushikwabo
Ikulu jijini Dar es salaam leo Disemba 23, 2015. Nyuma yao ni Balozi wa
Rwanda nchini Mhe
Rais Dkt
John Pombe Joseph Magufuli akiongea na balozi wa Uswisi hapa nchini
Mhe. Florence Tinguely Ikulu jijini Dar es salaam leo Disemba 23, 2015
Rais Dkt
John Pombe Joseph Magufuli akiagana na balozi wa Uswisi hapa nchini
Mhe. Florence Tinguely baada ya mazungumzo Ikulu jijini Dar es salaam
leo Disemba 23, 2015
Rais Dkt John Pombe Joseph
Magufuli akisalimiana na balozi wa Kuwait hapa nchini Mhe. Jasem Al
Najem Ikulu jijini Dar es salaam leo Disemba 23, 2015
Rais Dkt John Pombe Joseph
Magufuli akizungumza na balozi wa Kuwait hapa nchini Mhe. Jasem Al
Najem Ikulu jijini Dar es salaam leo Disemba 23, 2015
Rais Dkt
John Pombe Joseph Magufuli akimsindikiza balozi wa Kuwait hapa nchini
Mhe. Jasem Al Najem baada ya kuwa na mazungumzo naye Ikulu jijini Dar es
salaam leo Disemba 23, 2015
PICHA NA IKULU
0 comments :
Post a Comment