Na GladnessMushi,Arusha
Shirika la umeme mkoa wa Arusha,Tanesco limefanikiwa kuwakamata wezi
235 ambao walikuwa wakihujumu baadhi ya miundombinu ya shirika hilo
hali ambayo ilisababisha hasara ya zaidi Milioni 200

Hataivyo wezi hao waliweza kukamatwa katika oparesheni mbalimbali
ambazo zilifanywa na maofisa wa shirika hilo kwa kipindi cha mwezi wa
kwanza hadi kufikia mwezi wa kumi na mbili mwaka

Akiongea jana baada ya kumalizika kwa oparesheni maalumu ya kuwakamata
wezi wa miundombinu ya shirika hilo katika maeneo mbalimbali ya jiji
la Arusha kaimu Meneja wa tanesco mkoa wa Arusha,mhandishi Donadisiano
Shamba alisema wezi hao wamesababisha usumbufu na hasara kubwa sana
kwa shirika hilo
Mhandishi Shamba alidai kuwa mbali na kuhujumu baadhi ya miundombinu
pia baadhi ya wezi hao waliweza kuiba transfoma, nyaya za copper,
mafuta ya transfoma hali ambayo ilisababisha baadhi ya wateja
kushindwa kupata umeme kwa wakati au kila mara

‘tunaweza kusema kuwa kwa sasa kweli tumejipanga ipasavyo kuhakikisha
kuwa tunawakamata wote ambao wanahusika kuiba au kuhujumu miundombinu
yetu lakini pia kuwafikisha mahakamani kwani hii ni hasara kubwa sana
kwa mwaka “aliongeza mhandishi huyo.

Wakati huo huo alisema shirika hilo kwa sasa linatoa zawadi mbalimbali
kwa baadhi ya wananchi ambao watashirikiana nao na kisha kutoa taarifa
za wezi wa umeme hasa katika maeneo ya majumbani, viwandani, na
madukani.

Alitaja baadhi ya zawadi hizo kuwa ni pamoja na kufanikisha wizi wa
vifaa vya transfoma na transfoma zenyewe ni laki tano,wizi wa
viwandani ni Milioni moja, na miundombinu mingine ya tanesco kama vile
mfumo wa luku, na kujiunganishia basi watoa taarifa wataweza kupewa
jumla ya Milioni moja kama watafanikisha zoezi hilo

Naye afisa usalama msaidizi wa shirika hilo ,Bw Richard Ole sekeyani
alisema kuwa kwa sasa shirika hilo lina mkakati wa kumaliza tatizo
hilo la wizi wa umeme kabisa kwani inawezekana kutokana na mitandao
ambayo wameiunda.

Richard alidai kuwa wanaendeleza oparesheni za kuwabaini baadhi ya
wateja ambao wanajiunganishia umeme kinyemela kwani kuna hatari kubwa
sana kwa shirika hilo lakini pia hata kwa baadhi ya majirani

“angalieni hapa katika eeno hili la kwa ngulelo tumekamata mtu
amejigeuza kuwa yeye ndio tanesco anahudumia nyumba zote kama kumi na
kodi ya umeme anachukua kil mwezi mbaya zaidi majirani ambao ni wateja
wetu husika wanakosa umeme kwa wakati kutokana na jinsi alivyoiba na
ameunganisha kwa kutumia nyaya za radio ndogo sasa hii ni hatari
sana’aliongeza Richard

Aliwataka baadhi ya wateja waaminifu ambao kila mara wana shuhudia
wizi huo kuhakikisha kuwa wanatoa taarifa mara moja ili kuepusha
madhara makubwa kama vile madhara ya moto, na ukosefu wa umeme mara
kwa mara kwani kwa sasa kuna mafungu ambayo yametengwa kwa ajili ya
kazi hiyo

0 comments :
Post a Comment