Burundi yafanyiwa kikao Addis

Burundi yafanyiwa kikao Addis Ababa wa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa wanafanya
mazungumzo kuhusu msukosuko wa Burundi na viongozi wa Umoja wa Afrika katika mji mkuu wa Ethiopia, Addis Ababa.
Mkutano huo unafanywa siku moja baada ya ujumbe wa Umoja wa Mataifa kukutana na rais wa Burundi, Pierre Nkurunziza, ambaye uamuzi wake wa kugombea muhula wa tatu wa uongozi ulizusha miezi kadha ya ghasia.
Mwakilishi wa Marekani katika Umoja wa Mataifa, Samantha Power, alisema mazungumzo hayo hayakufanikiwa kama alivyotaraji.

Rais Nkurunziza alikataa wito wa mazungumzo, upatanishi na kikosi cha Umoja wa Afrika kuingilia kati.
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment