
Rais Robert Mugabe asema ni mzima kama kigongoRais Robert Mugabe
wa Zimbabwe amerudi nyumbani baada ya likizo ya mwezi mmoja nchi za nje,
juma moja baada ya wakuu kukanusha ripoti kwamba alishikwa na ugonjwa
wa moyo.
Bwana Mugabe, mwenye umri wa miaka 91, alisema ni mzima kama kigongo.
Anakutana
na kiongozi mwengine mkongwe wa Afrika, Teodoro Obiang Nguema wa
Equatorial Guinea, ambaye anafanya ziara rasmi nchini Zimbabwe.
Rais Nguema ameongoza Equatorial Guinea kwa miaka 36, mwaka mmoja zaidi ya Rais Mugabe
This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
0 comments :
Post a Comment