RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akiitikia dua baada ya
kumsomea hitma Marehemu Asha Bakari Makame iliofanyika katika Masjid
Noor-Muhammad kwa Mchina Unguja leo(Picha na Ikulu)
VIONGOZI wakishiriki katika kuuombea mwili wa Marehemu Asha Bakari Makame katika Masjid Noor-Muhammad kwa Mchina(Picha na Ikulu)
WANANCHI wakishiriki katika dua ya kumuombea marehemu Asha Bakari Makame katika Masjid Noor-Muhammad kwa mchina(Picha na Ikulu
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, na Viongozi na Wananchi
wakishiriki katika Sala ya kumsalima Marwhemu Asha Bakari Makame
iliofanyika katika Masjid Noor-Muhammad Kwa mchina Unguja leo
asubuhi(Picha na Ikulu)
NAIBU MUfti wa Zanzibar akisoma
Dua baada ya kumaliza Sala ya kumsalia marehemu Asha Bakari Makame
iliofanyika katika Masjid Noor-Muhammad Kwamchina Zanzibar(Picha na
Ikulu)
WANANCHI wakiitikia dua baada
kumalisa kwa Sala ya kumsalia Marehemu Asha Bakari Makame iliofanyika
katika Masjid Noor- Muhammad kwamchina Zanzibar(Picha na Ikulu)
WANANCHI wakiwa wamebeba jeneza
la likiwa na mwili wa marehemu Asha Bakari Makame baada ya kumaliza
kuombewa dua na Sala iliofanyika katika Masjid Noor-Muhammad Kwamchina
Zanzibar(Picha na Ikulu)
0 comments :
Post a Comment