Hii ni Kwamba kuna Maisha ya Kawaida nje ya Vyama vyetu vya Siasa ....Ubinadamu Uko pale pale Mh. Mbowe na Zito kabwe Wakifurahia jambo mara baada ya kusalimiana Jana Bungeni.

Nkupamah media


Kiongozi wa Kambi ya Upinzani Bungeni, Freeman Mbowe (kulia) akipeana mkono na Mbunge wa Kigoma Mjini, Zitto Kabwe kabla ya kuanza kwa mkutano na waandishi wa habari wakipinga kitendo cha kutolewa kwa nguvu katika Ukumbi wa Bunge mjini Dodoma jana

March 10 2015, Zitto Kabwe alivuliwa uanachama wa CHADEMA  kwa tuhuma za kukihujumu na kikisaliti chama hicho.

Hata hivyo, baada ya muda mfupi, Zitto alijiunga na chama cha ACT-Wazalendo na kuteuliwa kuwa kiongozi mkuu wa chama hicho huku mwenyekiti wake akiwa Anna Mghwira
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment