Spika
wa Bunge Mheshimiwa Job Y. Ndugai (MB) akiongoza kikaoo cha Kamati ya
Uongozi ya
Bunge-Ofisi za Bunge Mjini Dodoma leo tarehe 24 Januari 2016.
Wajumbe wa Kamati ya Uongozi ni Wenyeviti wote wa Kamati za Kudumu za
Bunge.
Naibu Spika wa Bunge Dkt. Tulia Ackson (MB) akiwasalimia wajumbe wa Kamati ya Uongozi ya Bunge kabla ya kuanza kwa kikaoo.
Waziri
wa Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Walemavu Mheshimiwa Jenista
Mhagama (MB) (aliyesimama katikati) akizungumza na Kiongozi wa Kambi
Rasmi ya Upinzani Bungeni Mhe. Freeman Mbowe (MB) (kushoto) pamoja na
Mwanasheria Mkuu wa Serikali Mheshimiwa George Masaju (kulia).
Wajumbe
wa Kamati ya Uongozi ya Bunge ambao ni Wenyeviti wa Kamati za Kudumu za
Bunge wakisubiri kuanza kwa kikaoo cha kwanza cha Kamati hiyo.
(Picha na Ofisi ya Bunge)
0 comments :
Post a Comment