Mkurugenzi Idara ya Maendeleo ya
Michezo kutoka Wizara ya Habari,Utamaduni,Sanaa na
Michezo Bw.Leonard
Tadeo akikabidhi Jezi kwa moja ya timu zinazoshiriki katika mashindano
ya michezo yanayohusisha wanafunzi wa vyuo vikuu leo jijini Dar es
Salaam.Wa kwanza kulia kwake ni mwenyekiti wa shirikisho la vyuo vikuu
mkoa wa Dar es Salaam Bw.Imani Matabula.
Mkurugenzi Idara ya Maendeleo ya
Michezo kutoka Wizara ya Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo Bw.Leonard
Tadeo akikagua timu ya chuo kikuu cha Dar es salaam wanaokaa Chuoni
wakati wa ufunguzi wa mashindano ya michezo ya vyuo vikuu yanayofanyika
katika viwanja vya michezo vya chuo kikuu cha Dar es Salaam.
0 comments :
Post a Comment