Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais –
Utumishi na Utawala Bora, Mhe. Angella Kairuki (Mb) akizungumza na
watumishi wa Ofisi yake (hawapo pichani) wakati wa kikao chake na
watumishi hao kilichofanyika jana alasiri.
Watumishi wa Ofisi ya Rais
wakimsikiliza Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Utumishi na Utawala Bora,
Mhe. Angella Kairuki (Mb) (hayupo pichani) wakati wa kikao cha Mhe.
Waziri na watumishi wa ofisi hiyo kilichofanyika jana alasiri.
Aliyekuwa Katibu Mkuu Ofisi ya
Rais – Utumishi, Bw. HAB Mkwizu akizungumza na Watumishi wa Ofisi ya
Rais – Utumishi (hawapo pichani) wakati wa kikao cha Mhe. Waziri na
watumishi wa ofisi hiyo kilichofanyika jana alasiri.
Aliyekuwa Naibu Katibu Mkuu Ofisi
ya Rais – Utumishi, Bw. Tixon Nzunda akizungumza na Watumishi wa Ofisi
ya Rais – Utumishi (hawapo pichani) wakati wa kikao cha Mhe. Waziri na
watumishi wa ofisi hiyo kilichofanyika jana alasiri.
Katibu
Mkuu Ofisi ya Rais-Utumishi Dkt. Laurian Ndumbaro akizungumza na
Watumishi wa Ofisi ya Rais – Utumishi (hawapo pichani) wakati wa kikao
cha Mhe. Waziri na watumishi wa ofisi hiyo kilichofanyika jana alasiri.
Katibu Mkuu mteule Ofisi ya Rais-Utumishi Dkt. Laurian Ndumbaro (kushoto) akipokea Kanuni za Kudumu katika Utumishi wa Umma (Standing Order) kutoka kwa aliyekuwa akishika nafasi hiyo Katibu Mkuu, Bw. HAB Mkwizu (kulia). Anayeshuhudia ni aliyekuwa Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais-Utumishi, Bw. Tixon Nzunda
0 comments :
Post a Comment