
Rais wa Jamhuri ya Muungano ya
Tanzania Dk. John Pombe Magufuli akiwasili kwenye uwanja wa kimataifa wa
ndege wa KIA mkoani Kilimanjaro leo huku akiongozana na Mkuu mpya wa
Mkoa wa Arusha Mhe.Daudi Felix Ntibenda tayari kwa hafla ya kuwatunuku
kamisheni maafisa wapya wa jeshi la Wananchi waliohitimu vyema mafunzo
yao katika chuo cha Jeshi Monduli Mkoani Arusha itakayofanyika Januari
23 /2016. PICHA NA IKULU
Rais wa Jamhuri ya Muungano ya
Tanzania Dk. John Pombe Magufuli akishiriki kupiga ngoma za utamaduni
wakati alipowasili kwenye uwa nja wa ndege wa KIA mkoani Kilimanjaro
leo.
Rais wa Jamhuri ya Muungano ya
Tanzania Dk. John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi waliofika
kwenye uwanja wa ndege wa KIA mkoani Kilimanjaro kwa ajili ya kumlaki
uwanjani hapo.
Rais wa Jamhuri ya Muungano ya
Tanzania Dk. John Pombe Magufuli akisalimiana na wananchi waliofika
kumlaki kwenye uwanja wa ndege wa KIA mkoani Kilimanjaro.
Baadhi ya wananchi wakimpungia
mikono Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Dk. John Pombe
Magufuli mara baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa kimataifa wa
KIA mkoani Klimajaro.
Rais wa Jamhuri ya Muungano ya
Tanzania Dk. John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi waliofika
kumlaki uwanja wa ndege wa KIA mkoani Kilimanjaro.
Msafara wa Rais wa Jamhuri ya
Muungano ya Tanzania Dk. John Pombe Magufuli ukiondoka kwenye uwanja wa
ndege wa KIA kuelekea Arusha mjini
0 comments :
Post a Comment