NEY WA MITEGO ''MWANAUME NILIYEMFUMA NA MWANAMKE WANGU KITANDANI ALIKUWA AMEVAA BOXER YANGU

 

Nay wa Mitego na Siwema
Nay wa Mitego akihojiwa na kipindi cha Leo tena radio kasema ni mengi sana yalitokea lakini hakuyaongea na alimpenda kwa dhati binti huyo na alikua na mipango nae mikubwa...
Amedai Siku Ambayo alimfumania Mchumba wake Kitandani akiwa namwanaume mwingine huyo Mwanaume alikuwa amevaa Kaptula ya ndani (Boxer) yake...

Tukio hilo lilitokea Mwaka jana ambao kwa sasa wawili hao wameshaachana na kila mmoja akiwa na maisha yake...
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment