AJALI ILIYOTOKEA MWENGE DAR ES SALAAM

nkupamah media:

DSC00421
DSC00429Wakazi wa jiji la Dar es salaam wakishuhudia Gari lenye namba za usajili T 838  CJC  aina ya Benz baada kupata ajali barabara ya  Samjoma Mwenge Dar es salaam chanzo cha ajali hiyo kinasemekana ni mwendo kasi ambapo dereva wa gari hilo alishindwa kulimudu gari na kugonga ukuta wa barabara.hakuna aliyepoteza maisha katika ajali hiyo.
DSC00420
DSC00426  Askari wa usalama barabarani akichukua maelezo kutoka kwa dereva aliekuwa akiendesha gari hilo ambaye jina alikuweza kufaamika mara moja.DSC00430Gari la break down likivuta gari hilo baada ya kupata ajali.
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment