BONDIA IBRAHIMU MAOKOLA AJIFUA KUMKABILI JOSEPH SINKALA MARCH 12 DAR LIVE

nkupamah media:

Bondia Ibrahimu Maokola kushoto akioneshana umwamba wa kurushiana makonde na Ibrahimu Class ‘King Class Mawe’ Maokola anajiandaa na mpambano wake wa ubingwa atakapozipiga na Joseph Sinkala March 12 katika ukumbi wa Dar live katikati ni kocha wa kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila ‘super D’ Picha na SUPER D BOXING NEWS
Bondia Ibrahimu Maokola kushoto akielekezwa jinsi ya kupiga ngumi kali za mkunjo wa chini ‘Upcut’  na kocha wa kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila ‘super D’  jana wakati wa kujiandaa na mpambano wake na Joseph Sinkala March 12 mpambano utakaofanyika katika ukumbi wa Dar Live Dar es salaam Picha na SUPER D BOXING NEWS
Bondia Ibrahimu Maokola kushoto akielekezwa jinsi ya kupiga ngumi kali za mkunjo wa chini ‘Upcut’  na kocha wa kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila ‘Super D’  jana wakati wa kujiandaa na mpambano wake na Joseph Sinkala march 12 mpambano utakaofanyika katika ukumbi wa Dar Live Dar es salaam Picha na SUPER D BOXING NEWS
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment