Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania,
IGP Ernest Mangu akimuapisha Kamishna wa Polisi, CP Simon Sirro baada
ya kupandishwa cheo na Mheshimiwa Rais ya Jamuhuri ya Muungano wa
Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, kutoka Naibu Kamishna wa Polisi na kuwa
Kamishna wa Polisi ambapo pia amemteua kuwa Kamanda wa Polisi Kanda
Maalum ya Dar es Salaam. Picha na Hassan
Mndeme-Jeshi la Polisi.
Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania,
IGP Ernest Mangu akimuapisha Kamishna wa Polisi, CP Albert Nyamuhanga
baada ya kupandishwa cheo na Mheshimiwa Rais ya Jamuhuri ya Muungano
wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, kutoka Naibu Kamishna wa Polisi na
kuwa Kamishna wa Polisi ambapo pia amemteua kuwa Kamishna wa Fedha na
Logostiki wa Jeshi la Polisi. Picha na Hassan Mndeme-Jeshi la Polisi.
Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania,
IGP Ernest Mangu akimuapisha Kamishna wa Polisi, CP Robert Boaz baada
ya kupandishwa cheo na Mheshimiwa Rais ya Jamuhuri wa Muungano ya
Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, kutoka Naibu Kamishna wa Polisi na kuwa
Kamishna wa Polisi ambapo pia amemteua kuwa Kamishna wa Intelijensia wa
Jeshi la Polisi. Picha na Hassan Mndeme-Jeshi la Polisi.
Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania,
IGP Ernest Mangu akimuapisha Kamishna wa Polisi, CP Nsato Marijani
baada ya kupandishwa cheo na Mheshimiwa Rais ya Jamuhuri ya Muungano wa
Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, kutoka Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa
Polisi na kuwa Kamishna wa Polisi ambapo pia amemteua kuwa Kamishna wa
Operesheni na Mafunzo wa Jeshi la Polisi. Picha na Hassan Mndeme-Jeshi
la Polisi.
Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania,
IGP Ernest Mangu (kushoto) akimpongeza Kamishna wa Operesheni na
Mafunzo, CP Nsato Marijani baada ya kumuapisha jana Makao makuu ya
Jeshi la Polisi. CP Nsato Marijani amepandishwa cheo na Mheshimiwa Rais
ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, kutoka Kamishna
Msaidizi Mwandamizi wa Polisi na kuwa Kamishna wa Polisi ambapo pia
amemteua kuwa Kamishna wa Operesheni na Mafunzo wa Jeshi la Polisi.
Picha na Hassan Mndeme-Jeshi la Polisi.
0 comments :
Post a Comment